Evan Mawarire
Mwanaharakati wa haki za binadamu na mchungaji wa Zimbabwe
Evan Mawarire (7 Machi 1977) [1] ni mchungaji na mwanaharakati wa kidemokrasia wa Zimbabwe. Alipata umaarufu wakati wa maandamano ya Zimbabwe ya 2016-2017 ambayo yalipinga utawala wa serikali ya Robert Mugabe. [2]

Marejeo
hariri- ↑ "Mawarire is no saint", The Herald, 2016-07-23. (en-GB)
- ↑ "Evan Mawarire, Pastor Behind Zimbabwe's #ThisFlag Protest Movement, Denied Bail", Time.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Evan Mawarire kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |