Evanilson (mchezaji)

Francisco Evanilson de Lima Barbosa (alizaliwa 6 Oktoba 1999), maarufu kama Evanilson, ni mchezaji soka wa Brazil anayecheza kama mshambuliaji wa klabu ya Premier League, AFC Bournemouth na timu ya taifa ya Brazil. [1]

Francisco Evanilson de Lima Barbosa

Marejeo

hariri
  1. "Boavista se aproveita de time cheio de novatos e bate Fluminense por 3 a 1" [Boavista take advantage of a team full of newbies and defeat Fluminense by 3–1] (kwa Kireno (Brazili)). UOL Esporte. 17 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 7 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Evanilson (mchezaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.