Explosion
"Explosion" ni jina la albamu ya tatu iliyotoka mwaka 1989 kutoka kwa kundi la muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Loketo. Albamu hii ni moja kati ya albamu bora kabisa za Loketo kama kundi. Nyimbo kali kutoka katika albamu hii ni pamoja na Extra-Ball, Douce Isabelle, Malou na Pardon.
Explosion | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
Studio album ya Loketo | |||||
Imetolewa | 1989 | ||||
Imerekodiwa | 1988-1989 | ||||
Aina | Soukous | ||||
Lebo | Jimmy's Production | ||||
Mtayarishaji | Jimmy Houetinou | ||||
Wendo wa albamu za Loketo | |||||
|
Orodha ya nyimbo
haririZifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.
- 1- Extra-Ball
- 2 - Cyndi
- 3 - Pardon
- 4 - Douce Isabelle
- 5 - Malou
- 6 - Tcheke Linha
Viungo vya Nje
hariri- Explosion katika wavuti ya Discogs.