Fabián E. Bustamante

Mwanasayansi wa kompyuta wa Argentina

Fabián E. Bustamante ni mwanasayansi wa kompyuta mwenye asili ya Argentina na Marekani aliyebobea katika mifumo iliyosambazwa na mitandao ya kompyuta. Kwa sasa ni profesa wa sayansi ya kompyuta katika Chuo Kikuu cha Northwestern.

Fabián E. Bustamante alizaliwa na kukulia nchini Argentina, Baada ya kumaliza masomo yake alipata Stashahada. maalumu kwa mifumo iliyosambazwa kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Georgia chini ya Karsten Schwan.