Fahri Korutürk
Fahri Sabit Korutürk (3 Agosti 1903 - 12 Oktoba 1987) alikuwa afisa wa jeshi la wanamaji, mwanadiplomasia na mwanasiasa wa Uturuki, ambaye aliwahi kuwa Rais wa sita wa Uturuki kutoka mwaka 1973 hadi 1980.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fahri Korutürk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |