Fakarava
Fakarava ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Toau. Eneo la kisiwa ni 15 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Rotoava. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 806. Watu wakaao kisiwani kwa Fakarava huongea Kituamotu na Kitahiti.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|