Tuamotu
Tuamotu ni funguvisiwa la Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa kaskazini-mashariki wa kisiwa cha Tahiti. Ni funguvisiwa kubwa kabisa duniani. Mwaka wa 2002, idadi ya watu visiwani imehesabiwa kuwa 15,862. Watu wakaao visiwani kwa Tuamotu huongea Kituamotu na Kitahiti.
Visiwa ndani ya funguvisiwaEdit
Funguvisiwa ya Tuamotu ina makundi manane ya visiwa yafutayo:
Visiwa vya DisappointmentEdit
Visiwa vya Duke of GloucesterEdit
Visiwa vya Tuamotu vya Mashariki MbaliEdit
- Fangatau
- Fakahina
- Tatakoto
- Akiaki
- Vahitahi
- Nukutavake
- Vairaatea
- Pinaki
- Reao
- Pukarua
- Vanavana
- Tureia
- Tematangi
- Moruroa
- Fangataufa
Visiwa vya HaoEdit
Visiwa vya HikueruEdit
Visiwa vya King GeorgeEdit
Visiwa vya PalliserEdit
Visiwa vya RaeffskyEdit
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|