Fakharia Shomar Khamis

mwanasiasa kutoka Tanzania

Fakharia Shomar Khamis (amezaliwa tarehe 20 disemba 1952) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ameteuliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017