Falkenberg ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 21 172 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1558 .

Mnara wa maji wa Landskrona

Jiografia

hariri

Eneo lake ni 14.54 km². Iko kando ya Kattegat. Umbali na Jiji la Göteborg ni 101 km.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Falkenberg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.