Falls Creek ni eneo la burudani kwenye milima ya Australia wenye kimo cha mita 1,842 juu ya usawa wa bahari. Katika majira ya baridi watu wanakuja hapa kwa michezo ya skii.

ramani ya Falls Creek
Falls Creek

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Falls Creek kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.