Orodha ya milima ya Australia
Hii ni orodha ya milima ya Australia, ingawa si yote.
- Mawson Peak (m 2,745) - kilele cha juu Australia, kusini mwa Bahari ya Hindi
- Mlima Kosciuszko (m 2,228) - New South Wales - mlima mrefu zaidi katika bara la Australia
- Mlima Bogong (m 1,986) katika Alpi za Viktoria - mlima wa juu katika Viktoria
- Mlima Feathertop (m 1,922) - Viktoria
- Mlima Hotham (m 1,861) - Viktoria
- Falls Creek (m 1,842) - Viktoria
- Mlima Buller (m 1,804) - Viktoria
- Mount Buffalo (m 1,695) - Viktoria
- Mlima Ossa (m 1,614) - mlima wa juu katika Tasmania
- Mlima Wellington (m 1,271) - Tasmania
- Milima ya Buluu (m 1,189) - New South Wales
- Bluff Knoll (m 1,095) - Western Australia
- Ayers Rock (m 863) - Northern Territory
- Mlima Dandenong (m 633) - karibu Melbourne - Viktoria
- Mlima Kembla (m 534) - katika Illawarra Escarpment karibu Unanderra, Wollongong, New South Wales
- Mlima Keira (m 464) - katika Illawarra Escarpment karibu Keiraville, Wollongong, New South Wales