Fameye

Mwanamuziki wa Ghana

Peter Famiyeh Bozah (alizaliwa 11 Septemba,1994), anajulikana kwa jina la kisanii la Fameye, ni rapa kutoka nchini Ghana na mwanamuziki kutoka Bogoso. [1] [2] Anafahamika zaidi kwa wimbo wake wa "Nothing I Get"(sina ninachopata). [3] [4] Alitoa remix ya wimbo huo uliowashirikisha wasanii kama Wan, Medikal na Kuami Eugene . Alikuwa mwanachama wa MTN Hitmaker msimu wa tatu. [5] Alishinda tuzo ya msanii mpya bora wa mwaka katika VGMA's 2020. [6] [7]

Maisha ya awali na elimu hariri

Fameye alizaliwa mjini Accra lakini anatokea Bogoso, katika Mkoa wa Magharibi wa Ghana . Alihudhuria Shule ya Upili ya Odorgonno Senior na kumaliza mwaka 2013. Alikuwa rapper rasmi katika siku zake za shule ya upili kabla ya kubadili na kuwa katika aina ya muziki wa Afro beat[8][9].

= Marejeo hariri

  1. My parents died when I was age 1 – 'Nothing I Get' hitmaker reveals. ghanaweb.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-07-06. Iliwekwa mnamo 6 July 2019.
  2. It hurts to hear I'm imitating Kwesi Arthur – Fameye. ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 6 July 2019.
  3. Adom FM Music Chart (Week 15): Fameye's 'Nothing I get', Kofi Mole's 'Don't be late' on the rise. myjoyonline.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-07-06. Iliwekwa mnamo 6 July 2019.
  4. Fameye drops 'Nothing I Get' after viral freestyle video. Entertainment (22 March 2019). Iliwekwa mnamo 6 July 2019.
  5. MTN Hitmaker: five evicted (en). www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 2019-12-21.
  6. VGMA 2020: Full list of winners (en-US). MyJoyOnline.com (2020-08-29). Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-10-29. Iliwekwa mnamo 2020-09-01.
  7. I Can't Spend On dressing And dying Of Starvation – Fameye To Critics (en). Legitloaded (2020-07-21). Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-08-11. Iliwekwa mnamo 2020-09-01.
  8. https://dailyguidenetwork.com/fameye-crowned-artiste-of-the-year-at-western-music-awards/ iliwekwa mnamo 2023 Februari 26
  9. https://www.myjoyonline.com/vgma-2020-full-list-of-winners/
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fameye kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.