11 Septemba
tarehe
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Septemba ni siku ya 254 ya mwaka (ya 255 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 111.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1960 - Hiroshi Amano, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2013
Waliofariki
hariri- 1680 - Go-Mizunoo, mfalme mkuu wa Japani (1611-1629)
- 1950 - Jan Christian Smuts
- 1971 - Nikita Krushchov, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti (1953-1964)
- 1987 - Peter Tosh, mwanamuziki wa Rege
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Proto na Yasinto, Felisi na Regula, Pafnusi wa Tebe, Pasienti wa Lyon, Saserdosi wa Lyon, Danieli wa Bangor, Adelfo wa Luxeuil, Leudini, Elia Speleota, Yohane Gabrieli Perboyre n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On this day in Canada Ilihifadhiwa 20 Oktoba 2014 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |