Fanendo Adi (alizaliwa 10 Oktoba 1990) ni mchezaji wa soka kutoka Nigeria anayecheza kama mshambuliaji.

Kimataifa hariri

Adi aliichezea mara mbili timu ya Taifa chini ya miaka 23 U23 ya Nigeria mnamo mwaka 2011. Pia alikuwa katika kikosi cha wakubwa cha Nigeria kwenye mechi dhidi ya Misri katika mchujo wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2017 mwezi Machi 2016, lakini hakucheza.[1]

Ukocha hariri

Mwezi Februari 2023, Adi aliteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya vijana chini ya miaka 19 ya Minnesota United Academy.[2]

Mafanikio hariri

Portland Timbers

  • MLS Cup: 2015[3]
  • Mabingwa wa Kanda ya Magharibi (katika michezo ya mtoano): 2015[4]

FC Cincinnati

  • Ligi Kuu ya USL: 2018

Columbus Crew

  • MLS Cup: 2020

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fanendo Adi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.