Fangak (jimbo)
Fangak State (jina la awali: Western Bieh State) ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Fangak State | |
Mahali pa Fangak katika Sudan Kusini | |
South Sudan | Sudan Kusini |
---|---|
Makao makuu | Ayod |
Idadi ya kaunti | 3 |
Idadi ya manispaa | |
Serikali | |
- Gavana | James Kok Ruea |
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 326,370 |
Imegawanyika katika kaunti 3: Fangak County, Canal County na Ayod County.
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Fangak (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |