Fansipan ni mlima wenye kimo cha m 3,143 juu ya usawa wa bahari.

KIlele cha mlima Fansipan

Ndio mrefu kuliko yote ya Vietnam na cha Indochina nzima.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fansipan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.