Mohamed Abdelghani Faouzi (alizaliwa 13 Julai, 1985) ni mchezaji wa zamani wa soka wa Moroko ambaye alicheza mwisho katika klabu ya RAC Casablanca.

Faouzi Abdelghani
Youth career
Wydad Casablanca
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
2005–2010Wydad Casablanca
JS Massira (kwa mkopo)
2010–2012Vitória Guimarães28(3)
2012Ittihad (kwa mkopo)5(0)
2012–2014Ittihad2(0)
2013–2014Al Khor (kwa mkopo)9(0)
2014–2015Moghreb Tétouan18(3)
2015Ittihad Tanger4(0)
2016Olympique Khouribga10(1)
2016–2018Hassania Agadir44(7)
2018–2019CR Al Hoceima26(2)
2019Raja Beni Mellal
2019–2021RAC Casablanca
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 21:04, 4 February 2020 (UTC).
† Appearances (Goals).

Kazi hariri

Faouzi alianza kucheza soka katika mitaa ya kijiji chake, Al Attaouia (El Kelaa des Sraghna). Huko, aligunduliwa na watalaamu kutoka Wydad Casablanca ambao walimleta kwenye klabu hiyo. Wakati wake na Wydad, alikopeshwa kwenda JS Massira.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Faouzi Abdelghani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.