Faridabad ni jiji la jimbo la Haryana nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.4 (2011). Ni mji mkubwa wa ishirini na sita nchini Uhindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Faridabad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.