Fashoda State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Fashoda State
Mahali paFashoda State
Mahali paFashoda State
Mahali pa Fashoda katika Sudan Kusini
Bendera ya South Sudan South Sudan Sudan Kusini
Makao makuu Kodok
Idadi ya kaunti 3
Idadi ya manispaa
Serikali
 - Gavana William Othuon
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014)
 - Wakazi kwa ujumla 155,602

Imegawanyika katika kaunti 3: Kodok County, Manyo County na Panyikang County.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fashoda (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.