Faya ni mji uliopo katika mkoa wa Borkou nchini Chad.

Uwanja wa ndege wa Faya-Largeau, Chad
Uwanja wa ndege wa Faya-Largeau, Chad

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 30,800 [1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Major Cities, Republic of Chad, tovuti ya citypopulation.de
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Faya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.