Feetham Filipo Banyikwa

Feetham Filipo Banyikwa (amezaliwa tar. 3 Oktoba 1947) ni mbunge wa jimbo la Ngara katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mengi kuhusu Feetham Filipo Banyikwa". 13 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.