Felister Aloyce Bura

Felister Aloyce Bura (amezaliwa 9 Novemba 1959) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania, viti maalum vya wanawake. Alichaguliwa mara ya kwanza mwaka 2005 akarudishwa mwaka 2010 na 2015. [1]

Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Saye (1967 - 1973) na elimu ya sekondari katika shule ya sekondari Tarime (1974 - 1977). [2]

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-26. Iliwekwa mnamo 2020-01-26.