Felix Ntibenda Kijiko

Felix Ntibenda Kijiko (amezaliwa tar. 28 Oktoba 1954) ni mbunge wa jimbo la Muhambwe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. ["Mengi kuhusu Felix Ntibenda Kijiko". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-05. Iliwekwa mnamo 2010-11-13.  Mengi kuhusu Felix Ntibenda Kijiko]