Fernando Sucre
Fernando Sucre ni jina kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Amaury Nolasco. Uhusika huu ulitambulishwa katika sehemu ya pilot ya mfululizo akiwa kama mfungwa mwezi wa mataalamu Michael Scofield (uhusika umechezwa na Wentworth Miller).
Uhusika wa Prison Break | |
---|---|
Sucre | |
Fernando Sucre | |
Mwonekano wa kwanza: | Pilot |
Msimu: | 1,2,3,4 |
Imechezwa na: | Amaury Nolasco |
Pia anajulikana kama: | Jorge Rivera |
Kazi yake: | Mfanyakazi wa zamani wa Godauni Mchimba Kaburi wa Sona (msimu wa 3) |
Familia: | Hector Avila (Binamu yake), Manche Sanchez (Binamu yake), Lila Maria Sucre (Binti yake) |
Mahusiano: | Maricruz Delgado (Mchumba wake) |
Akiwa na asili ya Kipuerto Rico, Sucre alikulia mjini Chicago, ambamo alikuwa mogogoro mwingi wa kisheria. Mama yake Bi. Maria alimpeleka kwenda kuishi na ndugu zake huko mjini New York City ili kuweza kupata msaada kadha wa kadha. Akiwa huko, alipata kazi godauni na akafanikiwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Bi. Maricruz Delgado.
Viungo vya nje
hariri- Fernando Sucre's biography Ilihifadhiwa 18 Machi 2009 kwenye Wayback Machine. at Fox.com
- Fernando Sucre's blog