Filokalia

Filokalia (kwa Kigiriki φιλοκαλία, filokalia, "upendo wa uzuri", kutoka φιλία, philia, "upendo" na κάλλος, kallos "uzuri") ni jina la vitabu mbalimbali vya Ukristo vilivyokusanya maandishi bora kuhusu maisha ya kiroho, kwa mfano kile kilichoandaliwa na Basili Mkuu na Gregori wa Nazienzi.[1][2]

Tafsiri ya Kirusi ya mwaka 1905.

Kati yake kitabu maarufu zaidi "Filokalia ya Mababu Waliokesha" cha Nikodemo wa Mlima mtakatifu na Makari wa Korintho ambao katika karne ya 18 walikusanya maandishi ya karne ya 4 hadi karne ya 15[3]kuhusu Hesukia katika Makanisa ya Kiorthodoksi.

Mkusanyo ulilenga kwanza wamonaki ili wajifunze kufikia sala ya hali ya juu (kwa Kiingereza "contemplative life").[4] lakini ulienea[5][6] hata ukawa kitabu kilichoathiri zaidi Makanisa hayo (baada ya Biblia ya Kikristo)[1][7] na hatimaye kuchangia mwamko wa sala katika Kanisa la Magharibi pia.

TafsiriEdit

 • (1979) The Philokalia: The Complete Text Volume 1. London: Faber and Faber. ISBN 0-571-11377-X. 
 • (1982) The Philokalia: The Complete Text Volume 2. London: Faber and Faber. ISBN 0-571-15466-2. 
 • (1986) The Philokalia: The Complete Text Volume 3. Faber and Faber. ISBN 0-571-17525-2. 
 • (1999) The Philokalia: The Complete Text Volume 4. Faber and Faber. ISBN 0-571-19382-X. 
 • Cavarnos, Constantine (2007). The Philokalia: Love of the Beautiful. Institute for Byzantine & Modern Greek Studies. ISBN 1-884729-79-7. 
 • Cavarnos, Constantine (2009). The Philokalia: A Second Volume of Selected Readings (Selected Readings from the Philokalia, Volume 2). Institute for Byzantine and Modern Greek Studies. ISBN 1-884729-91-6. 
 • The Philokalia: Complete Text. Iliwekwa mnamo 9 June 2014.

MarejeoEdit

 • Paschalis M. Kitromilides, "Philokalia's first journey?" in Idem, An Orthodox Commonwealth: Symbolic Legacies and Cultural Encounters in Southeastern Europe (Aldershot, 2007) (Variorum Collected Studies Series: CS891),
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Filokalia kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 1. 1.0 1.1 Palmer, G. E. H.; Ware, Kallistos; Allyne Smith; Sherrard, Philip (2006). The Philokalia: The Eastern Christian Spiritual Texts—selections Annotated & Explained (SkyLight Illuminations). Skylight Paths Publishing, vii–xiv. ISBN 1-59473-103-9. 
 2. English translation online here
 3. Ware, Kallistos; Sherrard, Philip (1979). The Philokalia: the complete text. London: Faber, 10. ISBN 0-571-13013-5. 
 4. Ware (1979), pp. 14-15.
 5. Ware (1979), pp. 11–12.
 6. Johnson, Christopher D. L. (2010). The Globalization of Hesychasm and the Jesus Prayer, Continuum Advances in Religious Studies. Continuum International Publishing Group, 39. ISBN 978-1-4411-2547-7. 
 7. Ware (1979), Publisher's blurb from back cover.