Fizi ni wilaya ya kusini ya mkowa wa Kivu Kusini. Wilaya inajulikana sana ikiwa ni sehemu ambayo raïs Joseph Kabila aliko zaliwa. Na ndipo palipo hanzwa kundi la Mai-Mai. Lugha ya watu wa Fizi ni Kibembe, ao Ébembe.