Mkoa wa Kivu Kusini
(Elekezwa kutoka Kivu Kusini)
Mkoa wa Kivu ya Kusini ni mmoja kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Uko upande wa Mashariki wa nchi ukipakana na nchi ya Tanzania na Ziwa la Tanganyika. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,837,779.
Mkoa wa Kivu Kusini Sud-Kivu |
|
![]() Sud-Kivu |
|
Majiranukta: 02°30′S 28°52′E / 2.500°S 28.867°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 8 |
Mji mkuu | Bukavu |
Serikali | |
- Gouverneur | Célestin Cibalonza Byaterana |
Eneo | |
- Jumla | 65,070 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 2,837,779 |
Makabila na lugha hariri
Wakazi wengi wa Mkoa wa Kivu Kusini ni wa kabila la Washi na lugha yao ya kwanza ni Kishi.
Lugha ya taifa inayozungumzwa katika sehemu hiyo ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo ni Kiswahili, hasa lahaja ya Kingwana.
Picha za Kivu Kusini hariri
-
Kanisa kuu la Bukavu
-
Barabara kati ya Lemera na Mulenge
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kivu Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu | |
+/- |