'Maandishi ya kooze'Florence Omagbemi (alizaliwa 2 Februari 1975) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza kama kiungo. Alishiriki na timu yake ya taifa katika makombe manne ya Dunia ya FIFA ya Wanawake, Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake na katika michuano ya Olimpiki ya mwaka 2000. Mwaka 2016 alitajwa kuwa kocha wa muda wa timu ya taifa ya Nigeria baada ya hapo awali kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20.[1][2]

Frorence omagbemi
Amezaliwa 2 Februari 1975
[Nigeria ]
Nchi [Nigeria ]
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo

hariri
  1. "Flo Omagbemi". Women's United Soccer Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Februari 2003. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. , http://dailymail.com.ng/biographyprofilehistory-of-new-interim-coach-of-super-falcons-florence-omagbemi/
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Florence Omagbemi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.