Mkunjo (jiolojia)
(Elekezwa kutoka Fold (geology))
Mkunjo (kwa Kiingereza: fold) kwa maana ya jiolojia unatokea pale ambako tabaka la mwamba lililokaa kibapa linaathiriwa na miendo katika ganda la Dunia na kupindwa kutokana na shinikizo na jotoridi kubwa. Kwa kawaida sababu ni miendo ya gandunia yaani pale ambako mabamba (vipande vya ganda la Dunia) husukumana.
Mikunjo hutokea mara nyingi katika matabaka ya mwamba mashapo lakini inatokea pia katika miamba ya volkeno.
Kiwango cha kukunjwa hutofautiana kwa ukubwa kuanzia mikunjo midogo sana inayotambuliwa katika hadubini tu, hadi kutokea kwa safu za milima zinazoweza kuitwa milima kunjamano kama vile Himalaya, Alpi, Andes au Rocky Mountains.
Kujisomea
haririThe Wikibook Historical Geology has a page on the topic of |
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- David D. Pollard; Raymond C. Fletcher (2005). Fundamentals of structural geology. Cambridge University Press. ISBN 0-521-83927-0.
- Davis, George H.; Reynolds, Stephen J. (1996). "Folds". Structural Geology of Rocks and Regions. New York, John Wiley & Sons. ku. 372–424. ISBN 0-471-52621-5.
- Donath, F.A., and Parker, R.B., 1964, Folds and Folding: Geological Society of America Bulletin, v. 75, p. 45-62
- McKnight, Tom L; Hess, Darrel (2000). "The Internal Processes: Folding". Physical Geography: A Landscape Appreciation. Upper Saddle River, NJ: Prentice Hall. ku. 409–14. ISBN 0-13-020263-0.
- Ramsay, J.G., 1967, Folding and fracturing of rocks: McGraw-Hill Book Company, New York, 560p.
- Lisle, Richard J (2004). "Folding". Geological Structures and Maps: 3rd Edition. Elsevier. ku. 33. ISBN 0-7506-5780-4.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkunjo (jiolojia) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |