Francesco Colasuonno

Francesco Colasuonno (2 Januari 192531 Mei 2003) alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia aliyehudumu kama mwanadiplomasia wa Vatikani kwa zaidi ya miongo miwili.

Francesco Colasuonno

Alikuwa na cheo binafsi cha askofu mkuu na mwishoni mwa huduma yake aliteuliwa kuwa kardinali.[1]

Marejeo

hariri
  1. Corley, Felix. "Cardinal Francesco Colasuonno", The Independent, 26 June 2003. Retrieved on 2 September 2017. 
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.