Francisco de Pina
Francisco de Pina, S.J. (1585 – 1625) alikuwa mtafsiri, mmisionari, na padre wa Kijesuiti kutoka Ureno.
Anahesabiwa kuwa mtu wa kwanza kubuni maandishi ya lugha ya Kivietnam kwa kutumia alfabeti ya Kilatini, ambayo ndiyo msingi wa alfabeti ya kisasa ya Kivietinamu.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "A Contribuição dos Missionários Portugueses para a actual língua vietnamita". 29 Oktoba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |