Frédéric Passy

(Elekezwa kutoka Frederic Passy)

Frédéric Passy (20 Mei 182212 Juni 1912) alikuwa mtaalamu wa uchumi kutoka nchi ya Ufaransa. Anajulikana hasa kwa maandishi yake yaliyojaribu kuzuia vita. Mwaka wa 1901, pamoja na Henri Dunant, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

Frédéric Passy
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frédéric Passy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.