1901
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| ►
◄◄ |
◄ |
1897 |
1898 |
1899 |
1900 |
1901
| 1902
| 1903
| 1904
| 1905
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1901 BK (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2021 MMXXI |
Kalenda ya Kiyahudi | 5781 – 5782 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2774 |
Kalenda ya Ethiopia | 2013 – 2014 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1470 ԹՎ ՌՆՀ |
Kalenda ya Kiislamu | 1443 – 1444 |
Kalenda ya Kiajemi | 1399 – 1400 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2076 – 2077 |
- Shaka Samvat | 1943 – 1944 |
- Kali Yuga | 5122 – 5123 |
Kalenda ya Kichina | 4717 – 4718 庚子 – 辛丑 |
- 13 Januari – Alfred Bertram Guthrie, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1950
- 22 Januari - Mtakatifu Alberto Hurtado (padre Mkatoliki kutoka Chile)
- 28 Februari - Linus Pauling, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1954, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1962
- 29 Aprili - Hirohito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 18 Mei - Vincent du Vigneaud, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1955)
- 4 Agosti - Louis Armstrong, mpuliza tarumbeta wa Jazz)
- 8 Agosti - Ernest Orlando Lawrence, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1939
- 20 Agosti - Salvatore Quasimodo, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1959
- 22 Septemba - Charles Huggins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 23 Septemba - Jaroslav Seifert, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1984
- 29 Septemba - Enrico Fermi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1938
- 5 Desemba - Walt Disney, mwongozaji filamu na mwanakatuni kutoka Marekani
- 5 Desemba - Werner Heisenberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1932
- 19 Desemba - Oliver La Farge, mwandishi kutoka Marekani
- 27 Desemba - Marlene Dietrich, mwigizaji filamu na mwimbaji kutoka Ujerumani
WaliofarikiEdit
- 22 Januari - Malkia Viktoria wa Uingereza (1837-1901)
- 27 Januari - Giuseppe Verdi, mtunzi wa opera kutoka Italia
- 13 Machi - Benjamin Harrison, Rais wa Marekani (1889-1893)
- 7 Agosti - Oreste Baratieri, jenerali ya Kiitalia aliyeshindwa 1896 katika mapigano ya Adowa.
- 9 Septemba - Henri de Toulouse-Lautrec, mchoraji wa Ufaransa
- 14 Septemba - William McKinley, Rais wa Marekani (1897-1901)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: