G.O.A.T.

Albamu ya LL Cool J

G.O.A.T. (Greatest of All Time) ni jina la albamu ya nane ya rapa wa Kimarekani, LL Cool J. Albamu ilitolewa kupitia studio ya Def Jam Recordings. Albamu ilitolewa mnamo tar. 5 Septemba 2000, na kuweza kushika nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard 200 huko nchini Marekani.

G.O.A.T.
G.O.A.T. Cover
Studio album ya LL Cool J
Imetolewa 5 Septemba 2000
Imerekodiwa 1999-2000
Aina Hip hop
Lebo Def Jam
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za LL Cool J
Phenomenon
(1997)
G.O.A.T.
(2000)
10
(2002)
Single za kutoka katika albamu ya G.O.A.T.
  1. "Imagine That"
    Imetolewa: 27 Juni 2000
  2. "You and Me"
    Imetolewa: 17 Oktoba 2000


Orodha ya nyimbo

hariri
  1. "Intro"
  2. "Imagine That" (akimshirikisha LeShaun) (Imetayarishwa na Rockwilder)
  3. "Back Where I Belong (anamponda Canibus)" (akimshirikisha Ja Rule) (Imetayarishwa na Vada Nobles)
  4. "LL Cool J" (Imetayarishwa na DJ Scratch)
  5. "Take It Off" (Imetayarishwa na Adam F)
  6. "Skit"
  7. "Fuhgidabowdit" (akimshirikisha DMX, Redman na Method Man) (Imetayarishwa na Trackmasters)
  8. "Farmers"
  9. "This Is Us" (akimshirikisha Carl Thomas) (Imetayarishwa na Vada Nobles)
  10. "Can't Think" (Imetayarishwa na Ty Fyffe)
  11. "Hello" (akimshirikisha Amil) (Imetayarishwa na DJ Scratch)
  12. "You and Me" (akimshirikisha Kelly Price) (Imetayarishwa na DJ Scratch)
  13. "Homicide" (Imetayarishwa na DJ Scratch)
  14. "U Can't Fuck With Me" (akimshirikisha Snoop Dogg, Xzibit na Jayo Felony) (Imetayarishwa na DJ Scratch)
  15. "Queens Is" (akimshirikisha Mobb Deep) (Imetayarishwa na Havoc)
  16. "The G.O.A.T." (Imetayarishwa na Adam F)
  17. "Ill Bomb" (Bonus) (Imetayarishwa na DJ Scratch)
  18. "M.I.S.S. 1" (akimshirikisha Case) (Bonus) (Imetayarishwa na III Am)

AlbumBillboard (Amerika ya Kaskazini)

Mwaka Chati Nafasi
2000 The Billboard 200 1
R&B/Hip-Hop Albums 1