James Todd Smith (amezaliwa tar. 14 Januari 1968) ni rapa na mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama LL Cool J. LL Cool J inasimama kwa "Ladies Love Cool James".[1] Anajulikana sana kwa maballad yake ya kimahaba kama vile "I Need Love", "Around the Way Girl" na Hey Lover", vilevile kuanzisha kuanzisha hip-hop kama vile "I Can't Live Without My Radio", "I'm Bad", "The Boomin' System", na "Mama Said Knock You Out". Pia amepata kuonekana katika filamu kadha wa kadha. LL Cool J ni mmoja kati ya wasanii wachache wa hip hop wa zama zake kuweza kupata mafanikio makubwa katika zake za kurekodi kwa zaidi ya makumi mawili. Ametoa takriban albamu kumi na mbili na kompilesheni ya vibao vikali kadhaa mpaka sasa, na albamu yake ya mpya kuwa ya mwaka wa 2008,s Exit 13, ambayo ni ya mwisho kwa LL kufanya kazi na Def Jam Recordings. Kwa sasa anaishi mjini Manhasset, New York na watoto wake wa nne na mke wake.[2]

LL Cool J
LL Cool J mnamo 2010
LL Cool J mnamo 2010
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa James Todd Smith
Amezaliwa 14 Januari 1968 (1968-01-14) (umri 56)
Bay Shore, New York, U.S.
Asili yake St. Albans, Queens, New York, U.S.
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Rapper, mwigizaji, baunsa
Ala Sauti
Miaka ya kazi 1983–mpaka sasa
Studio Violator
Tovuti LLCoolJ.DefJam.com

Maisha ya awali hariri

Diskografia hariri

Marejeo hariri

  1. CBS. ""There's No Doubt 'Ladies Love Cool James'"", CBS News, 2008-09-12. Retrieved on 2009-05-20. Archived from the original on 2008-09-14. 
  2. http://www.defjam.com/site/artist_home.php?artist_id=202 Official Site @ Def Jam

Viungo vya Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu LL Cool J kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.