Gangtok ni jina la mji mkuu wa jimbo la Sikkim katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 30,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1437 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Muonekano wa Mji wa Gangtok


Jiji la Gangtok

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Uhindi" does not exist.Mahali pa mji wa Gangtok katika Uhindi

Majiranukta: 27°19′48″N 88°37′12″E / 27.33°N 88.62°E / 27.33; 88.62
Nchi Uhindi
Jimbo Sikkim
Wilaya Sikkim Mashariki (East Sikkim)
Idadi ya wakazi
 - 29,162


WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Indie 2006.png Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gangtok kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.