Ukurasa kuhusu jimbo la Niger


Gaz Khan is located in Afghanistan
Gaz Khan

Eneo La Afghanistan

Majiranukta: 37°1′7″N 72°41′30″E / 37.01861°N 72.69167°E / 37.01861; 72.69167
Country Bendera ya Afghanistan Afghanistan
jimbo of Afghanistan Jimbo la Badakhshan
Wilaya of Afghanistan Wakhan
+ 4.30 (UTC)

Gaz Khan au Goz Khun ni kijiji katika eneo la Wakhan katika Mkoa wa Badakhshan kaskazini-mashariki mwa Afghanistan.[1]Kinapatikana kwenye makutano ya Mto Panj na Mto Wakhan. Kijiji hiki ndipo mahali pa kuanzia kwa safari za kuelekea bonde la Great Pamir. Gaz Khan inakaliwa na watu wa Wakhi. Idadi ya wakazi wa kijiji mnamo mwaka (2003) ni 149.[2]

Marejeo hariri

  1. "NGA GeoName Database". National Geospatial-Intelligence Agency. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-22. Iliwekwa mnamo 2008-05-27.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  2. "United Nations Environment Programme (2003) Wakhan Mission Report". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-06. Iliwekwa mnamo 2010-07-25.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)