Gemena

mji ulioko kaskazini-magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mji mkuu wa mkoa wa Sud-Ubangi1.

3°15′N 19°46′E / 3.250°N 19.767°E / 3.250; 19.767 Gemena ni mji ulio makao makuu ya mkoa wa Ubangi Kusini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Idadi ya wakazi ni 138,527 (2012[1]).

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Population of Gemena, Democratic Republic of the Congo". Population.mongabay.com. 2012-01-18. Archived from the original on 2012-05-17. Retrieved 2012-03-27.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gemena kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.