Mkoa wa Ubangi Kusini


Mkoa wa Ubangi Kusini ni mmoja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mkoa wa Ubangi Kusini
Mahali paMkoa wa Ubangi Kusini
Mahali paMkoa wa Ubangi Kusini
Mahali pa Mkoa wa Ubangi Kusini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mikoa
Mji mkuu Gebena
Eneo
 - Jumla 51,648 km²
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,744,345

Jina linatokana na mto Ubangi.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,744,345.

Mji mkuu ni Gebena.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
 
Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu
+/-
  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ubangi Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.