Georg Wilhelm Friedrich Hegel

Georg Wilhelm Friedrich Hegel (27 Agosti 177014 Novemba 1831) alikuwa mwanafalsafa wa Ujerumani aliyeathiri watu wengi katika karne ya 19 na karne ya 20.

Georg Wilhelm Friedrich Hegel 1831

Kati ya wanafunzi wake walikuwa Bauer, Stirner na Marx pia Sartre na Küng walichukua mengi kutoka kwake. Wengine waliompinga kama Kierkegaard, Schopenhauer, Nietzsche, Heidegger na Schelling waliathiriwa naye pia.

Viungo yva NjeEdit

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

Hegel kwa Kiingereza mtandaoniEdit