George Boniface Simbachawene

George Boniface Simbachawene (amezaliwa tar. 5 Julai 1968) ni mbunge wa jimbo la Kibakwe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kibakwe kwa mwaka 20152020[1] [2] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017
  2. Mengi kuhusu George Boniface Simbachawene (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.