George Herbert Hitchings (18 Aprili 190527 Februari 1998) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kubuni na kuendeleza mbinu za tibakemo. Mwaka wa 1988, pamoja na James Black na Gertrude Elion alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

George Hitchings
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Hitchings kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.