18 Aprili
tarehe
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 18 Aprili ni siku ya 108 ya mwaka (ya 109 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 257.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1905 - George Hitchings, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
- 1940 - Joseph Goldstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1985
- 1947 - James Woods, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1176 - Mtakatifu Galdino wa Sala, kardinali askofu mkuu wa Milano, nchini Italia
- 1853 - William Rufus de Vane King, Kaimu Rais wa Marekani (1853)
- 1955 - Albert Einstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1921
- 1974 - Marcel Pagnol, mwandishi kutoka Ufaransa
- 1993 - Masahiko Kimura, mwanariadha kutoka Japani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Ermogene na Elpidi, Pusisi, Eusebi wa Fano, Molaise, Ursmari, Antusa wa Konstantinopoli, Atanasia wa Egina, Yohane Isauro, Perfekto, Galdino wa Sala n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |