George Mcheche Masaju

George Mcheche Masaju ni mwanasheria wa nchini Tanzania. Mwaka 2015 aliteuliwa na rais Jakaya Kikwete kuwa Mwanasheria Mkuu wa nchi akaendelea katika nafasi hii baada ya kuingia kwa raisi mpya John Magufuli.[1][2]

Masaju alikuwa mshauri wa kisheria katika ofisi ya raisi kabla ya kuwa naibu mwanasheria mkuu mwaka 2009. [3] . Kutoka hapo alipanda cheo baada ya kujiuzulu kwa mwanasharia mkuu aliyetangulia.

Marejeo hariri

  1. "Rais amteua George Mcheche Masaju kuwa Mwana Sheria Mkuu wa Serikali". Michuzi Blog. 3 January 2015. Iliwekwa mnamo 3 January 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Masaju sworn in as Attorney General". 
  3. "JK kuapisha aliowateua leo". Michuzi Blog. 21 October 2009. Iliwekwa mnamo 3 January 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo vya Nje hariri