George Davis Snell (19 Desemba 19036 Juni 1996) alikuwa mwanajenetiki kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mfumo wa jeni. Mwaka wa 1980, pamoja na Baruj Benacerraf na Jean Dausset alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Snell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.