Jean Dausset (amezaliwa 19 Oktoba 1916) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza mfumo wa jeni. Mwaka wa 1980, pamoja na Baruj Benacerraf na George Snell alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Jean Dausset
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean Dausset kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.