George Corley Wallace Jr. (25 Agosti, 191913 Septemba, 1998) alikuwa mwanasiasa wa Marekani akiwa mwanachama wa Chama cha Kidemokrasia. Alikuwa gavana wa Alabama mara tatu: 1963-1967, 1971-1979 na 1983-1987. Mwaka wa 1968 aligombea urais kama mgombea wa tatu, yaani nje ya vyama vya kawaida, lakini akashindwa na Richard Nixon. Mwaka wa 1972 alijeruhiwa katika shambulio la mauaji akahitaji kutumia kiti cha magurudumu hadi mwisho wa maisha yake.

George Wallace
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Wallace kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.