Gerant
"Gerant" ni jina la albamu iliyotoka mwaka 1991 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu hii umaarufu wake unatokana na wimbo ulioimbwa Kiswahili "Shikamo Seye". Nyimbo nyengine kali kutoka katika albamu ni pamoja na Milla, Gerant, Bitota na Zonga Aime.
Gerant | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Pepe Kalle | |||||
Imetolewa | 1991 | ||||
Imerekodiwa | 1990-1991 | ||||
Aina | Soukous | ||||
Lebo | Mélodie | ||||
Wendo wa albamu za Pepe Kalle | |||||
|
Orodha ya nyimbo hariri
Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.
- 1 - Gerant
- 2 - Milla
- 3 - Shikamo Seye
- 4 - Pedro
- 5 - Milla (Version Stade)
- 6 - Zonga Aime
- 7 - Beli Seyo
- 8 - Muyonga
- 9 - Bitota
- 10 - Gerant (Instrumental)
- 11 - Shikhamo (Instrumental)
- 12 - Zonga Aime (Instrumental)
Viungo vya Nje hariri
- Gerant katika wavuti ya Discogs.