Shikamo Seye
"Shikamo Seye" (vilevile "Hidaya") ni jina la wimbo wa tatu kutoka katika tepu na CD baadhi ya albamu ya Gerant ya msanii wa muziki wa soukous kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Wimbo unazungumzia msichana aliyeitwa Hidaya kupotea nchii Tanzania wakati alivyokuja kwa ajili ya kutumbuiza miaka ya 1990 mwanzoni. Kinanda kazi ya Manu-Lima wakati gitaa limepigwa na Dally Kimoko. Baadhi ya maneno anasema; "Nimepoteza kipenzi changu nchini Tanzania, Nimepoteza mkanda wa kiuno, nitarudi".
"Gerant" | ||
---|---|---|
"Gerant" kava | ||
Wimbo wa Pepe Kalle
kutoka katika albamu ya Gerant | ||
Umetolewa | 1991 | |
Umerekodiwa | 1990-1991 | |
Aina ya wimbo | Soukous | |
Urefu | 5:41 | |
Studio | Mélodie | |
Mtunzi | Pepe Kalle | |
Gerant orodha ya nyimbo | ||
|
Viungo vya Nje
hariri- Shikamo Seye katika YouTube