Gerard James Butler (amezaliwa tar. 13 Novemba 1969) ni mwigizaji filamu wa Kiscotland. Huenda akawa anafahamika kwa jina la Mfalme Leonidas kutoka katika filamu ya 300 na The Phantom ya mwaka wa 2004.

Gerard Butler
Gerard Butler
Gerard Butler
Jina la kuzaliwa Gerard James Butler
Alizaliwa 13 Novemba 1969
Uskoti
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1997 - mpaka leo

Wasifu

hariri

Maisha ya awali

hariri

Butler alizaliwa mjini Glasgow, ni mtoto wa Margaret na Edward Butler. Babu yake na bibi yake walitokea nchini Ireland. Butler alikulia katika maisha ya dini sana, na familia yao walikuwa waumini wakubwa wa dhehebu la Wakatoliki. Baadaye familia ilielekea Montreal na si muda mrefu baba na mamake Butler wakatarikiana, na mamake akamchukua Butler na na ndugu zake wengine wakarudi zao Uskoti, katika mji wa Paisley alipozaliwa mamake Butler. Toka kipindi hicho hakuwa na mawasiliano zaidi na babake hadi alipofikisha umri wa miaka kumi na sita.

Filamu alizoigiza

hariri
Mwaka Jina la filamu Jina alilotumia Maelezo
1997 Mrs. Brown Archie Brown
Tomorrow Never Dies Leading Seaman
1998 Tale of the Mummy Burke
Fast Food Jacko
Little White Lies Peter TV movie (UK)
The Young Person's Guide to Becoming a Rock Star Marty Claymore Tamthilia ya TV (UK)
1999 The Cherry Orchard Yasha
Please! Peter Filamu fupi
One More Kiss Sam Tamthilia ya TV (UK)
Lucy Sullivan Is Getting Married Gus Tamthilia ya TV (UK)
2000 Dracula 2000 Count Dracula
Harrison's Flowers Chris Kumac
2001 An Unsuitable Job for a Woman Tim Bolton Tamthilia ya TV (UK)
Attila Attila the Hun TV miniseries
Jewel of the Sahara Captain Charles Belamy Filamu fupi
The Jury Johnnie Donne Tamthilia fupi (UK)
2002 Shooters Jackie Junior
Reign of Fire Creedy
2003 Lara Croft Tomb Raider: The Cradle of Life Terry Sheridan
Timeline André Marek
2004 The Phantom of the Opera The Phantom
2005 Trailer for a Remake of Gore Vidal's Caligula Prefect Cassius Chaerea Filamu fupi
Dear Frankie The Stranger
Beowulf & Grendel Beowulf
The Game of Their Lives Frank Borghi
2007 300 King Leonidas
Butterfly On A Wheel Neil Randall
PS, I Love You Gerry Kennedy
2008 Nim's Island Wanatengeneza kasha yake
RocknRolla One Two Wanatengeneza kasha yake
2009 Game Bado inatengenezwa

Marejeo

hariri
  1. http://www.filmreference.com/film/73/Gerard-Butler.html
  2. http://gerardbutler-es.com/index.php?option=com_content&task=view&id=1505&Itemid=116&lang=en Ilihifadhiwa 5 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
  3. http://gerardbutlerusa.com/Interviews.html Ilihifadhiwa 21 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.
  4. http://www.hellomagazine.ca/profiles/gerardbutler/ Ilihifadhiwa 3 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
  5. http://www.canada.com/topics/entertainment/story.html?id=50e2e2f3-f765-4d9c-88e6-a39959023abb&k=97955 Ilihifadhiwa 3 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.

Viungo vya nje

hariri